Mathayo 24:24
Mathayo 24:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.
Shirikisha
Soma Mathayo 24