Mathayo 24:15
Mathayo 24:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, mtakapoona ‘Chukizo Haribifu lililonenwa na nabii Danieli limesimama mahali patakatifu, (msomaji na atambue maana yake)
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu)
Shirikisha
Soma Mathayo 24