Mathayo 24:12-13
Mathayo 24:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapunguka. Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.
Shirikisha
Soma Mathayo 24