Mathayo 20:25
Mathayo 20:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo Yesu akawaita, akawaambia, “Mnajua kwamba watawala wa mataifa hutawala watu wao kwa mabavu, na wakuu hao huwamiliki watu wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Yesu akawaita, akasema, Mwajua ya kuwa wakuu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, na wakubwa wao huwatumikisha.
Shirikisha
Soma Mathayo 20