Mathayo 2:2
Mathayo 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
wakauliza, “Yuko wapi mtoto, Mfalme wa Wayahudi, aliyezaliwa? Tumeiona nyota yake ilipotokea mashariki, tukaja kumwabudu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.
Shirikisha
Soma Mathayo 2