Mathayo 19:9
Mathayo 19:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Shirikisha
Soma Mathayo 19