Mathayo 19:24
Mathayo 19:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawaambia tena, Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu ya sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 19