Mathayo 19:23
Mathayo 19:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akawaambia wanafunzi wake, Amin, nawaambieni, ya kwamba itakuwa shida tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 19