Mathayo 19:17
Mathayo 19:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamwambia, “Mbona unaniuliza kuhusu jambo jema? Kuna mmoja tu aliye mwema. Ukitaka kuingia katika uhai, shika amri.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia, Kwa nini uniulize kuhusu wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri.
Shirikisha
Soma Mathayo 19