Mathayo 19:14
Mathayo 19:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akasema, “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie; maana ufalme wa mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 19