Mathayo 18:3
Mathayo 18:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:3 Biblia Habari Njema (BHN)
kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18