Mathayo 18:15
Mathayo 18:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ndugu yako akikukosea, mwendee ukamwonye mkiwa nyinyi peke yenu. Akikusikia utakuwa umempata ndugu yako.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ndugu yako akikukosea, nenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo.
Shirikisha
Soma Mathayo 18