Mathayo 16:15-16
Mathayo 16:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
Shirikisha
Soma Mathayo 16