Mathayo 15:8-9
Mathayo 15:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami. Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.’”
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 15