Mathayo 14:30
Mathayo 14:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!”
Shirikisha
Soma Mathayo 14