Mathayo 14:28-29
Mathayo 14:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Petro akamwambia, “Bwana, ikiwa ni wewe kweli, amuru nitembee juu ya maji nije kwako.” Yesu akasema, “Haya, njoo.” Basi, Petro akashuka kutoka ile mashua, akatembea juu ya maji, akamwendea Yesu.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. Akasema, Njoo. Petro akashuka katika mashua, akatembea juu ya maji, ili kumwendea Yesu.
Shirikisha
Soma Mathayo 14