Mathayo 14:24
Mathayo 14:24 Biblia Habari Njema (BHN)
na wakati huo ile mashua ilikwisha fika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikumbwa na taabu kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ile mashua imekwisha kufika katikati ya bahari, inapigwa sana na mawimbi; maana upepo ulikuwa unawakabili.
Shirikisha
Soma Mathayo 14