Mathayo 14:22
Mathayo 14:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande katika mashua na kutangulia mbele yake kwenda ng'ambo, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara, Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie ngambo ya ziwa wakati yeye anayaaga makundi ya watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 14