Mathayo 14:20
Mathayo 14:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wote wakala, wakashiba. Kisha wanafunzi wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.
Shirikisha
Soma Mathayo 14