Mathayo 13:43
Mathayo 13:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, wale wema watangara kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio na asikie!
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo wenye haki watakapong'aa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio, na asikie.
Shirikisha
Soma Mathayo 13