Mathayo 13:23
Mathayo 13:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Ile mbegu iliyopandwa katika udongo mzuri ni mfano wa mtu asikiaye neno hilo na kuelewa, naye huzaa matunda; mmoja mia, mwingine sitini na mwingine thelathini.”
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye aliyepandwa penye udongo mzuri, huyo ndiye alisikiaye lile neno, na kulielewa; yeye ndiye azaaye matunda, huyu mia, na huyu sitini, na huyu thelathini.
Shirikisha
Soma Mathayo 13