Mathayo 13:22
Mathayo 13:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Ile mbegu iliyoanguka kati ya miti ya miiba, ni mfano wa mtu asikiaye hilo neno, lakini wasiwasi wa ulimwengu huu na anasa za mali hulisonga neno hilo, naye hazai matunda.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye aliyepandwa penye miiba, huyo ndiye alisikiaye lile neno; na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali hulisonga lile neno; likawa halizai.
Shirikisha
Soma Mathayo 13