Mathayo 13:19
Mathayo 13:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeyote asikiaye neno juu ya ufalme wa Mungu bila kuelewa, ni kama zile mbegu zilizoanguka njiani; yule Mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mtu alisikiapo neno la ufalme bila kulielewa, huja yule mwovu, akalinyakua lililopandwa moyoni mwake. Huyo ndiye aliyepandwa karibu na njia.
Shirikisha
Soma Mathayo 13