Mathayo 12:43
Mathayo 12:43 Biblia Habari Njema (BHN)
“Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani kukavu akitafuta mahali pa kupumzika asipate.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate.
Shirikisha
Soma Mathayo 12