Mathayo 12:34
Mathayo 12:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi kizazi cha nyoka! Mnawezaje kusema mambo mema hali nyinyi ni waovu? Maana mtu husema kutokana na yale yaliyojaa moyoni.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi wazawa wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
Shirikisha
Soma Mathayo 12