Mathayo 12:18
Mathayo 12:18 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tazama mtumishi wangu niliyemteua, mpendwa wangu anipendezaye moyoni. Nitaiweka roho yangu juu yake, naye atatangaza hukumu yangu kwa mataifa yote.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu.
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu.
Shirikisha
Soma Mathayo 12