Mathayo 11:12
Mathayo 11:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu wakati wa Yohane Mbatizaji mpaka leo hii, ufalme wa mbinguni unashambuliwa vikali, na watu wakali wanajaribu kuunyakua kwa nguvu.
Shirikisha
Soma Mathayo 11Mathayo 11:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu huuteka.
Shirikisha
Soma Mathayo 11