Mathayo 10:28
Mathayo 10:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiwaogope wale wauao mwili, lakini hawawezi kuiua roho. Afadhali zaidi kumwogopa yule awezaye kuuangamiza mwili pamoja na roho katika moto wa Jehanamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika Jehanamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 10