Mathayo 10:26
Mathayo 10:26 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, msiwaogope watu hao. Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, na kila kilichofichwa kitafichuliwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 10Mathayo 10:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana.
Shirikisha
Soma Mathayo 10