Mathayo 1:5-6
Mathayo 1:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu) Boazi na Ruthu walikuwa wazazi wa Obedi, Obedi alimzaa Yese, naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria).
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese; Yese akamzaa mfalme Daudi. Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria
Shirikisha
Soma Mathayo 1