Malaki 4:6
Malaki 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nabii Elia atawapatanisha wazazi na watoto wao; la sivyo, nitakuja na kuiangamiza nchi yenu.”
Shirikisha
Soma Malaki 4Malaki 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana.
Shirikisha
Soma Malaki 4Malaki 4:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana.
Shirikisha
Soma Malaki 4