Luka 8:27
Luka 8:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Alipokuwa anashuka pwani, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo alimjia kutoka mjini. Kwa muda mrefu mtu huyo hakuwa anavaa nguo, wala hakuwa anaishi nyumbani bali makaburini.
Shirikisha
Soma Luka 8Luka 8:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye aliposhuka pwani, alikutana na mtu mmoja wa mji ule, mwenye pepo, hakuvaa nguo siku nyingi, wala hakukaa nyumbani, ila makaburini.
Shirikisha
Soma Luka 8