Luka 6:12-13
Luka 6:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu. Na kulipokucha aliwaita wanafunzi wake; akachagua kumi na wawili miongoni mwao, ambao aliwaita mitume
Shirikisha
Soma Luka 6Luka 6:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha katika kumwomba Mungu. Hata kulipokuwa mchana aliwaita wanafunzi wake; akachagua kumi na wawili miongoni mwao, ambao aliwaita Mitume
Shirikisha
Soma Luka 6