Luka 3:5
Luka 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila bonde litafukiwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa; palipopindika patanyoshwa, njia mbaya zitatengenezwa.
Shirikisha
Soma Luka 3Luka 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila bonde litajazwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopindika patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patalainishwa
Shirikisha
Soma Luka 3