Luka 22:42
Luka 22:42 Biblia Habari Njema (BHN)
“Baba, kama wapenda, ukiondoe kwangu kikombe hiki; hata hivyo, mapenzi yako yatimizwe, wala siyo yangu.”
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:42 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; lakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. [
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:42 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. [
Shirikisha
Soma Luka 22