Luka 22:41-42
Luka 22:41-42 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akawaacha, akaenda umbali wa mtu kuweza kutupa jiwe, akapiga magoti, akasali: “Baba, kama wapenda, ukiondoe kwangu kikombe hiki; hata hivyo, mapenzi yako yatimizwe, wala siyo yangu.”
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:41-42 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenyewe akajitenga nao kama kiasi cha kutupa jiwe, akapiga magoti akaomba, akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; lakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. [
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:41-42 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwenyewe akajitenga nao kama kiasi cha kutupa jiwe, akapiga magoti akaomba, akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. [
Shirikisha
Soma Luka 22