Luka 18:17
Luka 18:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hataingia katika ufalme huo.”
Shirikisha
Soma Luka 18Luka 18:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambia, Mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hauingii kamwe.
Shirikisha
Soma Luka 18