Luka 18:14
Luka 18:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawaambieni, huyu mtozaushuru alirudi nyumbani akiwa amesamehewa. Lakini yule mwingine, sivyo. Kwa maana kila anayejikweza atashushwa, na kila anayejishusha atakwezwa.”
Shirikisha
Soma Luka 18Luka 18:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawaambia, huyu alishuka kwenda nyumbani kwake amehesabiwa haki kuliko yule; kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa.
Shirikisha
Soma Luka 18