Luka 17:20-21
Luka 17:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati mmoja, Mafarisayo walimwuliza Yesu, “Ufalme wa Mungu utakuja lini?” Naye akawajibu, “Ufalme wa Mungu hauji kwa namna itakayoweza kuonekana. Wala hakuna atakayeweza kusema, ‘Uko hapa’, au ‘Uko pale’. Kwa kweli ufalme wa Mungu uko kati yenu.”
Shirikisha
Soma Luka 17Luka 17:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza; wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.
Shirikisha
Soma Luka 17Luka 17:20-21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Luka 17