Luka 12:37
Luka 12:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri watumwa wale, ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesha. Amin, nawaambieni, atajifunga na kuwakaribisha chakulani, atakuja na kuwahudumia.
Shirikisha
Soma Luka 12Luka 12:37 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Luka 12