Luka 1:46-47
Luka 1:46-47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu
Shirikisha
Soma Luka 1Luka 1:46-47 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye Maria akasema: “Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, nayo roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu
Shirikisha
Soma Luka 1Luka 1:46-47 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Maria akasema, “Moyo wangu wamtukuza Bwana, roho yangu inafurahi kwa sababu ya Mungu Mwokozi wangu.
Shirikisha
Soma Luka 1