Luka 1:44-45
Luka 1:44-45 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakuambia, mara tu niliposikia sauti yako, mtoto mchanga tumboni mwangu aliruka kwa furaha. Heri yako wewe uliyesadiki kwamba yatatimia yale Bwana aliyokuambia.”
Shirikisha
Soma Luka 1Luka 1:44-45 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sauti ya kuamkia kwako ilipoingia masikioni mwangu, kitoto kichanga kikaruka kwa shangwe ndani ya tumbo langu. Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.
Shirikisha
Soma Luka 1