Luka 1:3-4
Luka 1:3-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo, ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa.
Shirikisha
Soma Luka 1Luka 1:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Inafaa nami pia, Mheshimiwa, baada ya kuchunguza kwa makini mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie kwa mpango, ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa.
Shirikisha
Soma Luka 1