Walawi 9:24
Walawi 9:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akawasha moto ukaiteketeza sadaka ya kuteketezwa na mafuta yaliyokuwa juu ya madhabahu. Watu wote walipouona huo moto walipaza sauti na kusujudu.
Shirikisha
Soma Walawi 9Walawi 9:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha moto ukatoka hapo mbele za BWANA, na kuiteketeza sadaka ya kuteketezwa, na yale mafuta juu ya madhabahu; watu wote walipouona huo moto wakapiga kelele wakainama kifudifudi.
Shirikisha
Soma Walawi 9