Walawi 27:30
Walawi 27:30 Biblia Habari Njema (BHN)
“Zaka za mazao iwe ni nafaka au matunda ya miti, yote ni mali ya Mwenyezi-Mungu; ni takatifu kwa Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Walawi 27Walawi 27:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena zaka yote ya nchi, kama ni mbegu ya nchi, au kama ni matunda ya nchi, ni ya BWANA; ni takatifu kwa BWANA.
Shirikisha
Soma Walawi 27