Walawi 26:6
Walawi 26:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawapeni amani nchini hata muweze kulala bila ya kuogopeshwa na chochote. Nitawaondoa wanyama wakali katika nchi na nchi yenu haitakumbwa na vita.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawapa amani katika nchi, tena mtalala na hakuna atakayewatia hofu; nami nitawakomesha wanyama wabaya katika nchi yenu, wala hautapita upanga katika nchi yenu.
Shirikisha
Soma Walawi 26