Walawi 26:1
Walawi 26:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Walawi 26Walawi 26:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Msijitengenezee sanamu za miungu ya uongo, msishike sanamu zao za kuchonga wala nguzo wala sanamu za mawe yaliyochongwa nchini mwenu na kuvisujudu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Walawi 26