Walawi 23:24
Walawi 23:24 Biblia Habari Njema (BHN)
“Waambie watu wa Israeli hivi: Siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtaadhimisha siku ya mapumziko rasmi, siku ya ukumbusho itakayotangazwa kwa mlio wa tarumbeta na kufanya mkutano mtakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 23Walawi 23:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwezi wa saba, siku ya kwanza ya mwezi, kutakuwa na kustarehe kabisa kwenu, ni ukumbusho wa kuzipiga baragumu, ni kusanyiko takatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 23