Walawi 20:26
Walawi 20:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ni mtakatifu, nami nimewatenga nyinyi na mataifa mengine ili muwe mali yangu, mtakuwa watakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 20Walawi 20:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mtakuwa watakatifu kwangu; kwa kuwa mimi BWANA ni mtakatifu nami nimewatenga ninyi na mataifa, ili kwamba muwe wangu.
Shirikisha
Soma Walawi 20