Walawi 19:4
Walawi 19:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Msizigeukie sanamu za miungu, wala msijitengenezee sanamu za kusubu za miungu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msigeuke kufuata sanamu, wala msijitengenezee miungu ya kusubu mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Walawi 19